The Search
Tessy Chocolate
Kayitesy Abdul Kayondo ni mjasiriamali wa vipodozi na mwanamitandao kutoka nchini Tanzania. Umaarufu wake ulikuja katika nadhari ya umma baada ya kuzaliana na mwimbaji mashuhuri wa muziki wa kizazi kipya, Aslay ambaye amezaa naye mtoto mmoja aliyetambulika kwa jina la Mozzah Aslay. Hata hivyo, kwa sasa hawapo pamoja.
Wikipedia · CC BY-SA
chocolate — chocolate
dictionary.aplusz.app