The Search
Glen Coffee
mchezaji wa mpira wa miguu wa Marekani
Glenwood Razeem Coffee Jr. ni mchezaji wa zamani wa kitaalamu wa mpira wa Futiboli ya Marekani ambaye alikuwa mchezaji wa kukimbia katika ligi ya NFL. Alichaguliwa na San Francisco 49ers katika raundi ya tatu ya ligi ya NFL mwaka 2009 na alicheza msimu mmoja kabla ya kustaafu kutoka katika mpira wa Futiboli mnamo mwaka 2010 na kuhudumu katika Jeshi la Marekani kuanzia mwaka 2013 hadi mwaka 2017. Coffee alirudi kutoka kustaafu na kupewa ruhusa na NFL mnamo Aprili 21, 2017. Alicheza mpira wa chuo katika Chuo Kikuu cha Alabama.
Wikipedia · CC BY-SA
coffee — coffee
dictionary.aplusz.app