The Search
Ufaransa
nchi katika Ulaya ya Magharibi
Ufaransa, rasmi Jamhuri ya Ufaransa ), ni nchi iliyopo magharibi mwa Ulaya. Kulingana na sensa ya 2020 Ufaransa ina idadi ya watu milioni 67.1 na eneo la kilomita za mraba 643,801 .Inapakana na Ubelgiji na Uholanzi upande wa kaskazini, Ujerumani, Uswidi, na Italia upande wa mashariki, Uhispania na Andorra upande wa kusini-magharibi. Nchi pia ina maeneo ya ng'ambo, kama vile visiwa vya Caribbean, Bahama, na Pasifiki. Mji mkuu na mkubwa ni Paris, na lugha rasmi ni Kifaransa.
Wikipedia · CC BY-SA
france — Ufaransa, rasmi Jamhuri ya Ufaransa ), ni nchi iliyopo magharibi mwa Ulaya.
dictionary.aplusz.app