The Search
Uvutano
Uvutano ni kani ya kuvutana iliyopo kati ya maada yote ya ulimwengu. Kila gimba lenye tungamo linavuta magimba mengine yote yenye tungamo.
Wikipedia · CC BY-SA
gravity — Ni neno la kiingereza ambalo linamaanisha nguvu inayovuta kitu kuelekea katikati ya dunia, au kuelekea kwenye kitu kingine chochote cha kimwili chenye masi.
dictionary.aplusz.app