The Search

The Search

Intaneti

mfumo wa kidunia ya mitandao ya kompyuta iunganishanayo

Intaneti ni mfumo wa kushirikiana kwa tarakilishi nyingi unaowezesha watu mbalimbali duniani kuwasiliana baina yao. Kupitia mtandao huo, watu huweza kutembelea tovuti mbalimbali, kupiga gumzo, na kuandikiana barua pepe.

Wikipedia · CC BY-SA

internet — Ni neno la Kiingereza linalomaanisha mfumo wa kimataifa wa kompyuta zilizounganishwa unaowezesha ubadilishanaji wa data na taarifa.

dictionary.aplusz.app