The Search

The Search

Kathmandu

Kathmandu ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Nepal wenye wakazi milioni 1.5. Iko katika bonde la Kathmandu kando ya mto Bagmati kwenye milima ya Himalaya kwa kimo cha mita 1,300. Miji ya Patan na Bhaktapur iko karibu. Mahali pake ni 27°43′N 85°22′E.

Wikipedia · CC BY-SA

kathmandu — Kathmandu ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Nepal wenye wakazi milioni 1.5.

dictionary.aplusz.app