The Search

The Search

Kyoto

Kyoto ni mji wa Japani uliokuwa mji mkuu wa nchi kati ya 794 na 1868. Ilikuwa makao makuu ya Tenno (Kaisari) wa taifa. Iko takriban kilomita 400 kusini magharibi ya Tokyo kwenye kisiwa cha Honshu.

Wikipedia · CC BY-SA

kyoto — Kyoto ni mji wa Japani uliokuwa mji mkuu wa nchi kati ya 794 na 1868.

dictionary.aplusz.app