The Search

The Search

Milano

jiji katika Italia

Milano ni mji mkubwa wa Italia ya kaskazini wenye wakazi milioni 1.3. Rundiko la mji lina wakazi milioni 7.5. Ni mji mkuu wa mkoa wa Lombardia na kitovu cha uchumi na utamaduni.

Wikipedia · CC BY-SA

milan — Ndege mwindaji wa familia ya Accipitridae, hasa kite

dictionary.aplusz.app