The Search

The Search

Nice

Nice ni mji wa Ufaransa kusini, katika mkoa wa Provence-Alpes-Côte d'Azur. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 970,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 0-520 juu ya usawa wa bahari.

Wikipedia · CC BY-SA

nice — nice

dictionary.aplusz.app