The Search

The Search

Osaka

Osaka (大阪市) ni mji wa Japani. Mji ndiyo mji mkuu katika Mkoa wa Osaka. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 2.7 wanaoishi katika mji huu.

Wikipedia · CC BY-SA

osaka — Osaka ni mji wa Japani.

dictionary.aplusz.app