The Search

The Search

Usanisinuru

Usanisinuru ni mchakato wa kibiolojia na kikemia ambako mimea ya kijani inageuza nguvu ya nuru ya jua kuwa nishati ya kikemia. Inatengeneza kabohidrati ikitumia nguvu ya nuru ya jua na dioksidi kabonia ya hewani pamoja na maji.

Wikipedia · CC BY-SA

photosynthesis — mchakato wa mimea kutumia mwanga wa jua, maji na hewa ya kaboni dioksidi kutengeneza chakula na kutoa oksijeni

dictionary.aplusz.app