The Search
Sydney
Sydney ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya Australia. Sydney ni mji mkubwa wa New South Wales. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini Australia.
Wikipedia · CC BY-SA
sydney — ni mji mkubwa nchini Australia, ulioko pwani ya mashariki.
dictionary.aplusz.app