The Search

The Search

Yoga

Yoga ni mazoezi ya kiroho na kimwili yenye asili katika falsafa ya Uhindi.

Tangu miaka ya 1980 yoga ilisambaa pia nje ya Uhindi katika nchi za magharibi kama mazoezi ya kimwili. Katika utamaduni wa Kihindi yoga inatekelezwa pamoja na jitihada za kiroho na kidini kwenye msingi wa Uhindu na pia Ubuddha. Mtu anayefanya mazoezi ya yoga huitwa yogi.

Wikipedia · CC BY-SA

yoga — Mazoezi ya kimwili na kiakili yanayotokana na falsafa ya Kihindi.

dictionary.aplusz.app